Thursday, October 13, 2016

Clippers imemuondoa Xavier Munford

Timu ya Los Angeles clippers leo imemuondoa "Guard" wake Xavier Munford.



Munford ambae ameichezea timu hiyo kwa mechi mbili tu za maandalizi ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi ya NBA na kuifungia "points" nne. Mchezaji huyo ambae alikuwemo kwenye kikosi cha "All-Star 2016" cha D-League ameichezea Bakersfield Jam pamoja na Memphis Grizzlies, Katika mechi 14 alizoichezea Grizzlies hadi mwishoni mwa msimu wa 2015-16, Munford alikuwa na wastani wa point 5.7, 2.2 rebounds na 1.6 assists huku akicheza kwa wastani wa dakika 17.4.

No comments:

Post a Comment